News Details

Images
Images
  • News

SALAMU ZA PONGEZI KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti, na Watumishi wote  wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) tunakupongeza Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.