Sheria zilizomo katika tovuti hii zimechapishwa kwa matumizi ya wale wanaohusika na shughuli za kila siku za usafiri wa ndege, lakini hazipaswi kuchukuliwa kuwa ni rejea rasmi yenye mamlaka ya kisheria.
Ingawa, Mamlaka imefanya kila juhudi kuhakikisha kuwa sheria hizo ni za sasa na sahihi kama zinavyotolewa na mamlaka zinazohusika, Mamlaka haitakubali kuwajibika kwa makosa yoyote au upungufu wowote, au kwa matokeo yatakayopatikana kutokana na matumizi ya taarifa hizi.
Nyaraka rasmi zenye mamlaka kisheria ni zile zinazochapishwa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, na zinaweza kupatikana katika duka la vitabu la Serikali au kununuliwa kwa nakala ngumu katika Makao Makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania.
Maswali kuhusu maudhui ya machapisho haya yawasilishwe kwa:-
Mkurugenzi Mkuu,
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,
Izingatiwe na: Kitengo cha Masuala ya Kisheria.
Tafuta machapisho
#
Mwaka
Jina
Hatua
1
2023
SHERIA YA USAFIRI WA ANGA [SURA YA 80 TOLEO LA 2023]