Sheria Ndogo

Taarifa Muhimu

Sheria zilizomo katika tovuti hii zimechapishwa kwa matumizi ya wale wanaojihusisha na masuala ya kila siku ya usafiri wa anga lakini hazipaswi kuchukuliwa kuwa ni rejea rasmi yenye mamlaka ya kisheria.

Ingawa, Mamlaka imefanya kila juhudi kuhakikisha kuwa sheria hizi ni za sasa na sahihi kama zinavyotolewa na mamlaka inayohusika, Mamlaka haitakubali kuwajibika kwa makosa au upungufu wowote, au kwa matokeo yatakayopatikana kutokana na matumizi ya taarifa hizi.

Nyaraka rasmi zenye mamlaka ni zile zinazochapishwa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali na zinaweza kupatikana katika duka la vitabu la Serikali au kununuliwa kwa nakala ngumu katika Makao Makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania.

Maswali kuhusu maudhui ya machapisho haya yawasilishwe kwa:-

Mkurugenzi Mkuu,
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,
Izingatiwe na: Kitengo cha Masuala ya Kisheria.

Tafuta machapisho
# Mwaka Jina Hatua
1 2026 The Civil Aviation (Complaints Handling Procedures) Rules, 2026
2 2021 The Civil Aviation (Training Centre) Management and Operations Rules, 2021
3 2009 Civil Aviation (Rates and Charges) Rules, 2009
4 2007 Civil Aviation Authority (Rules for Conducting Inquiries), 2007
4 matokeo
Unahitaji Msaada?